WAKUU WALA BATA MOMBASA
Kama ilivyotabiriwa, mgao wa serikali ya kaunti ukiingia tutawaona wakitangatanga hapa na pale wakichezea hela.
Ndio hao wako Mombasa siku tano.
Wakuu wanagawa hela zenu kama njugu karanga
🥜🥜🥜 ...
Wana #DaTu Amkeni ...
🥳🥳🥳https://www.facebook.com/share/p/1435QbSo6c/