Maji ya mzima 2, ambayo tulikubaliana kabla yateremke kwenda Mombasa lazima yaingie Taveta, lazima yaingie Wundanyi, lazima yaingie Mwatate, lazima yafike Voi, kwanza ...
Na lazima iwe ni maji ya kutosha mifugo, iwe ni maji ya kutosha irrigation , na ya kutosha matumizi ya manyumbani ...
Hiyo program, nilishawaeleza, hiyo program tushafanya procurement imekwisha , ni siasa kidogo, siasa duni ambayo inakwamisha hiyo mradi ...
100 days ya kwanza, tutahakikisha tumeweka sahihi ili hiyo mradi ianze, tupate maji ya kutosha kwa mifugo, ya irrigation na matumizi nyumbani kwa watu wa Taita Taveta ...
#MzimaPhaseTwo
#ChemiChemiZaAhadi
https://www.facebook.com/share/v/1AkJR9QuwF/