NAFASI 45 ZA KAZI EBENEZER TELEVISION🔥 Wanahitajika Nafasi hizi-Elimu kuanzia ngazi ya Cheti/Certificate👉 Wapiga Picha
👉 Wataalamu wa kufanya Editing
👉 Waandaaji Vipindi
👉 Maafisa Masoko
👉 Waandishi Wa Habari
👉 Warusha Matangazo
👉 Wahariri wa Picha
👉 Wasaidizi wasimamizi wa Vipindi
👉 Wahasibu
👉 Mafundi Umeme
👉 Wasimamizi wa Utawala (HR)
👉 Wasimamiz wa Social Media
👉 Wahariri wa habari
👉 Wazalishaji Vipindi
👉 Watunzaji KumbuKumbu
👉 Wasimamizi wakuu wa Vipindi
👉 Waratibu wa Maudhui mitandaoni
Deadline: February 12,2020
Bonyeza Link-APPLY ONLINE KAMA ILIVYOELEKEZWA👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇http://www.unistoretz.com/magazine/45-job-opportunities-ebenezer-television-tanzania/