Madereva 80 wanahitajika kampuni ya GALCO TRANSPORT

Deadline: 23 /09/2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/80-jobs-opportunities-at-galco-limited-drivers/


▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

1 comment

Tumaini Jonathan
*TANGAZO TANGAZO TANGAZO.*
*Hospitali ya Miracolo* iliyopo Segerea-Sanene DSM
Inatangaza Nafasi za kazi kada ya
*1. Uuguzi ngazi uuguzi ngazi ya cheti(Enllored Nurse) EN.* 3 post

*2. Medical Attendant (MA)* 3 post


*SIFA* :
✍️Awe na Vyeti kamili.
✍️EN awe na Leseni ya kazi pia.

✍️Uzoefu wa kutoa huduma za RCH, CTC, OPD, TRIAGE Au Emergency Care. n.k

✍️ Awe na uwezo wa kutumia Computer kwa ufanisi.

*NB* (Mwenye uzoefu na ujuzi wa ziada au uwezo binafsi atapewa kipaumbele zaidi).
✍️Maombi yaambatanishwe na CV na Vivuli vya Vyeti.

✍️Maombi yawasilishwe Hospitalini hapo. *Mwisho wa kutuma maombi hayo ni tarehe 6/9/2021.*

Au kwa maelezo zaidi Wasiliana kwa Namba:
*+255 719 844277*
*0769108108*