SOKO LA KISASA BOMENI WARD
Wakaazi wa Bomeni Ward wangeenda kuishukuru serikali ya Kaunti ya #TaitaTaveta kwa kujenga soko hii ya kisasa iliyogharimu Ksh 8.6M ....
Soko hii ya kitaalam imekuwa baraka kwa wakaazi kwa kuwawezesha kujiimarisha kimaisha.
Wanawapongeza sana wote waliohusika kuufanikisha mradi huu na kuwaombea moto
🔥 wa milele usiwashwe mbali nao.
https://www.facebook.com/share/18Tc41VxtV/