Unajua Fursa za kujiingizia kipato ONLINE ni nyingi sana...!!
Watu wengi wanafikiri Ili kuwa na biashara ni Lazima uwe unaenda Ofisini, umevaa vizuri, n.k.... Lakini kuna watu wanahitaji Internet tuuh ...wanakaa kitandani au ndani wakiwa na LAPTOP/KOMPYUTA wanaingiza zaidi ya Million.1 kwa siku ( ndio namaanisha $500/ per day)....
Siku hizi Teknolojia imekuwa na inazidi kukuwa sana..na ndio maana SIO LAZIMA UTAFUTE FRAME YA DUKA kariakoo...ila unaweza Fungua ONLINE STORE kama KIKUU na watu wakanunua bidhaa kama kawaida....!!
Zipo Biashara watu wanavyofanya online ambazo watu wanatumia KUJIPATIA KIPATO
Mfano wa Online Businesses
👉 Kumilikia Youtube Channel ( Nilishaelezea hii..jinsi ya kutengeneza pesa kupitia Youtube)
👉 Dropshipping ( Nitaelezea)
👉 Cryptocurrency & Forex market (nitaelezeq)
👉 Blog/ Mobile apps (ndio somo letu la leo)
👉 Freelancers
👉 Online Brokers
👉 Na njia zingine nyingi
LEO NITAELEZEA KUHUSU Kumiliki Mobile app.. Ambayo Utakuwa UNALIPWA na Facebook( Facebook Ad Netwoek) na Google(Google adsense)!!.........