GOOD NEWS KWA WASANII WOTE TANZANIA NA VIKUNDI VYA SANAA 🎶🎵 British Council/Prince Claus Fund Mobility Grants 2019FURSA YA UDHAMINI KUTOKA SERIKALI YA UINGEREZA ( BRITISH COUNCIL) KWA WASANII WA TANZANIA● Utapewa Grants /Fedha za kukuza Projects zako za Kisanaa
● Utapewa nafasi ya ku-Attend Festivals kwa Udhamini wa British Council
● Utapewa Fursa ya Kufanya Tours nchi mbali mbali - Fully Funded kwa Udhamini Wa Prince Claus/British Council
Download Application Form & Apply Online 👇👇👇👇👇👇👇http://www.unistoretz.com/magazine/british-council-prince-claus-fund-mobility-grants-2019-for-african-artists/🚫⛔ HAKUNA MALIPO YA AINA YOYOTE YANAYOHITAJIKA KATIKA KU-APPLY FURSA HII TAFADHALI SHEA, IWAFIKIE WASANII WOTE AU VIKUNDI VYA KISANAA TANZANIA 🤝🏿🤝🏿