*Hivi karibuni vimesikika visa vingi vinavyohusiana na Mahusiano na Ndoa.Visa hivi vimepelekea hali ya sintofahamu kuhusu mambo hayo mawili,hasa kwa vijana wa miaka kati ya 15-35.*
*Kupitia mradi wake wa tafiti na tathmini za kijamii, shirika la DOENHAS CHILD AEGIS, linakusudia kupata kufahamu zaidi kuhusu mitazamo ya vijana na changamoto wanazozipitia katika mahusiano na ndoa.*

*Kiungo hiki https://ee.humanitarianresponse.info/x/3R78T5wC ni dodoso fupi linalolenga kuchukua taarifa za uzoefu wa vijana ili kujenga Msingi wa tafiti rasmi.*
*TUNAOMBA KWA DAKIKA CHACHE ULIJAZE,KUWA MKWELI.TAARIFA ZAKO NI SIRI NA HATUTAKUTAMBUA KWA TAARIFA HIZI!*
*Asante na karibu sana!*