Unawezaje kuingiza Pesa kupitia Facebook na Google???
JIBU NI KWA KUMILIKI- Mobile Application ( mobile app)
🛑KUMILIKI MOBILE APP ...SIO LAZIMA uwe umesomea IT !! MTU YOYOTE YULE ANAWEZA MILIKI APP NA AKAPIGA PESA KAMA KAWAIDA!!!!.... Unahitaji kuwa na mobile application yako inaweza iwe android au ios ..!!!
🔵Mambo gani ya kuzingatia kabla ya kumiliki App??
👉 Lazima Uwe na Idea / Niche!!
â–ª Kabla ya kuanzia kutengeneza app lazima ujue..utaweka Content ya aina gani uko....mfano
â–ª Utamfata mtu anayejua kutengeneza app utamwambia..
Nataka kutengeneza app...labda ya miziki, ya kuhusu story za mapenzi, ya kuhusu makala za Afya, app ya habari za udaku, app ya mapishi , app ya makeup ,app ya elimu, nk....
👉 Lazima utafute mtu mzoefu au anayefanya biashara kama hiyo..aweze kukupa elimu na kushea uzoefu jinsi ya kuendesha biashara hiyo
👉 Lazima uwe na Mtaji (nashauri ISIWE CHINI YA MILLION.1 Tshs japo inawezekana ata kwa laki.3).....Nakazia hapa....Ili kifanikiwa hii biashara ni lazima uwe na mtaji isiwe chini ya $500-NITAELEZEA HAPA KWANINI NA BUDGET NZIMA
👉 Ni lazima uwe na DISCPLINE !! Kama hauna Discpline wala ata usijisumbue kufanya hii biashara....DISCPLINE ya hapa Ni kufuata SHERIA ZILIZOWEKWA NA GOOGLE na Facebook wenyewe!!
👉 Lazima uwe na Laptop /Kompyuta ..pamoja na smartphone...HII NDIO OFISI YAKO.....