Sasa Unatakiwa Kufanya nini...kuanza kujifunza??...


1. Kwanza Weka nia, muda na Malengo kwamba utaweza kujifunza


2. Kabla ya kuanza kula VIDEO TUTORIALS ZA YOUTUBE....Embu fanya kumtafuta Mkali yoyote yule unayemfahamu ili akupe Basics kwanza...muongozo!!!...Atakusaidia kufahamu .....baadhi ya Adobe softwares unazotakiwa kuwa nazo na programmes zingine n.k

3. Zama sasa Youtube kupiga darasa.......kuna Videos nyingi wanaelekeza kozi nzima.....JINSI YA KUTUMIA ADOBE kutengeneza Logo, kutengeneza Posters, Ku Edit picha , Ku edit Videos n.k


3. Anza ku practice na kuwa mtundu sana katika kukuza Ubunifu wake....



HAKIKA UKIANZA LEO....BAADA YA MIEZI MITATU!!BHAS HAUTAKUWA KAMA LEO!!!


Mimi kawaida yangu ni kuleta WAZO LA BIASHARA!! HIVYO KAZI KWAKO MWENYEWE KULIFANYIA KAZI


Asanteni!!


Karibuni kutoa maoni, ushauri na maswali

© Unistore tz Inc

3 comments

DEODATH DAUDI
Ni wazo zuri
Sana asante
St. Forbes
Ni wazo zuri asante ila pia nina kijana wangu yupo vizuri ukipata nafasi ya ajira tafadhali naomba unisaidie nimjulishe
Marry Massawe
Nzur sana