👉Utalipiwa kila kitu kwenda Chuo na - nchini JAPAN
📍UBALOZI WA JAPAN TANZANIA WATANGAZA UDHAMINI WA MASOMO- SCHOLARSHIPS
👉Maombi ya Scholarship hii yanapitia Ubalozi wa Japan Tanzania
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
● Utalipiwa Ada Kipindi chote cha masomo ● Utalipiwa gharama zote za Usafiri kwenda Japan ✈️ ● Utalipiwa gharama zote za Bima ya afya ● Utapewa sehemu ya kuishi ● Utapewa fedha ya kujikimu ya matumizi binafsi ya kila siku - Allowances💰
📚Scholarship za kusomea kozi zote
👉 Kozi za Education 👉 Kozi za Afya 👉 Kozi za Engineering 👉 Kozi za Business 👉 Kozi za Social Sciences