Kwa Sasa tunakuletea Kozi maalum na ya kipekee ya Lugha ya Kijerumani A1 kwa Wiki sita itakayoanza tarehe 04.10.2021 na kumalizika tarehe 12.11.2021 ambapo kwa wale watakaoendelea na A2 kuanzia tarehe 22.11.2021 wakahitimu ngazi ya B1.2 na wakafaulu mtihani wa Goethe-Institut watapata nafasi ya kujiunga na kozi za Ujuzi katika sekta ya Afya nchini Ujerumani kupitia kwa wakala wetu. Wahi Kwani nafasi Ni chache. Usajili unaanza mara moja. Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kupitia Simu: +255 62 402 6118, +255 787 925 489, +255 767 473 637 info@hetzco.co.tz AuPair@hetzco.co.tz Nassoro.Nascov@hetzco.co.tz
+255 62 402 6118, +255 787 925 489, +255 767 473 637
info@hetzco.co.tz
AuPair@hetzco.co.tz
Nassoro.Nascov@hetzco.co.tz