OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
TCU -GUIDE BOOK MPYA TOLEO LA TATU
(KWA WANAFUZNI WALIOMALIZA FORM SIX)
http://154.118.230.224/guidebooks/Final_2019.20_%20Guidebook%20for%20%20Holders%20of%20Form%20Six%2021.08.2019.pdf
4 comments
Babuu Dybala
Aug 22, 2019
NIT wale wa re apply tunafanyaje?
Unistoretz Support
Aug 22, 2019
Babuu Dybala
NIT wale wa re apply tunafanyaje?
Subiri majibu kwa account yako
Babuu Dybala
Aug 22, 2019
Unistoretz Support
Subiri majibu kwa account yako
Majibu ya ku re apply? Maana mara ya kwanza nilitemwa
lion king
Aug 25, 2019
Samahani nilitaka kuuliza kdg
Et kwa wale walochaguliwa first selection chuo kimoja lakini mtu akataka kufanya application tena second round vp kuhusu kile chuo alichokua amepewa mara ya kwanza anafutwa au bado anakuepo
Et kwa wale walochaguliwa first selection chuo kimoja lakini mtu akataka kufanya application tena second round vp kuhusu kile chuo alichokua amepewa mara ya kwanza anafutwa au bado anakuepo