VIDEO YA MAELEKEZO


MAELEKEZO JINSI YA KU-APPLY AJIRA MPYA ZA UWALIMU NA KADA YA AFYA ZILIZOTANGAZWA NA SERIKALI


Bonyeza link hapo kuangalia Video ya maelekezo
👇👇👇👇👇👇👇👇👇

https://www.unistoretz.com/magazine/tamisemi-government-job-vacancies-for-teachers-healthcare-providers/





🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀

5 comments

Joyce Mokiwa
Jamani mbona kwenye index number inanigomea sijui ni nini sasa
Msaada jamani ktk machaguo ya mikoa na halimashauri inagoma kbs
Joyce Mokiwa
Jamani mbona kwenye index number inanigomea sijui ni nini sasa
Andika S ikifuatiwa na namba ya shule ya sec ulikosoma halaf namba yako ya mtihani mfano; S0958-0012
Machaguo ya mikoa na halmashauri inagoma
Joyce Mokiwa
Sasa msinichoke jamani mwenzenu mwezi January nilifungua ya elimu ila Mimi ni afya Sasa Kila tukijitahidi kwa afya nikiingiza namba ya mtihani mfumo unaniambia no match Sasa nifanyaje jaman