HALI HALISI MAZERAS - VOI

Eti hivi ndio wameacha baada ya kuzoa taka! Wamezoa nini?

Wakaazi watakula kristmas mtaa ukinika uvundo, chapati kushuka ni balaa!

Iko nini? 🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️

https://www.facebook.com/share/p/1BDSyXv21Q/

Comments

Be the first to add a comment