13 comments

Show 3 more comments
Frank Katema
Wazo zuri sana nabado liko wazi kabisa nikuchangamkia tu hii fulsa thanks
Nivaster Simfukwe
Jamanii ushaurii ni mzurii sana kumbe hakuna mtu anaependa mwenzioo awe maskiniiii 🙏🙏🙏🙏🙏
safi sana umenifungua pia katika hili ngoja nilivulie shati
Christina Mlyuka
Wazo zuri sana
Kebby Frankly
Wengi wanaogopa mashine za kufulia zinapausha nguo