Je, wewe ni kijana; 1. Mwenye ari na kujituma? 2. Mwenye ujuzi na uwezo wa kuuza? 3. Mwenye ujuzi wa kufanya mawasiliano? 4. Mbunifu na mwenye ujuzi wa kutatua matatizo?
Kuna nafasi ya kazi kwa ajili yako!
Tafadhali tuma CV na barua ya maombi kwenye email hii: infotanzania@itmafrica.com
Mwisho wa kupokea maombi ni Ijumaa tarehe 12/02/2021