HIZI HAPA--VIDEOS AMBAZO ZINAELEZEA ...NI KAMA KOZI YA GRAPHICS DESIGNING...(JISNI YA KUTUMIA ADOBE,.....kutengeneza LOGO, kutengeneza Posters, Kutengeneza Business Cards, Ku edit picha, ku edit Videos..nk



KOZI NZIMA KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO


Unaweza Jifunza Kupitia videos hizi....kwa muda wako mwenyewe!!
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/playlist?list=PL9pkETrdJ0rZoid7XU1OmQ5zvPVQ0sRJl

16 comments

Show 6 more comments
Issah Anthony
Asante na je? Tanzania APA Kuna kampuni yoyote inayoruhusu mwanafunzi wa chuo kikuu kuvolunteer wakat bado anaendelea na masomo???
Now am gonna improve my skills. Interested with designing
Eagle Eye
Now am gonna improve my skills. Interested with designing
Safi sana.....Unawesa Kuwa na brand name yako as a company inayojihusisha na graphics designing....itaongeza uwaminifu na kufanya kazi na ata makampuni makubwa kwa ku-Partner nao...!! Kila sehemu wamahitaji watu kama wewe...Hadi makanisani, makampuni n.k
Proxima Centaury
Hallow....kuna baadhi ya matangazo ya kazi yanawekwa lakini hakuna option ya kuapply
Julius Joseph
Unistoretz Support
Safi sana.....Unawesa Kuwa na brand name yako as a company inayojihusisha na graphics designing....itaongeza uwaminifu na kufanya kazi na ata makampuni makubwa kwa ku-Partner nao...!! Kila sehemu wamahitaji watu kama wewe...Hadi makanisani, makampuni n.k
Mimi natafuta nafasi za udereva Nina living ya form four TU na cheti Cha udereva.link nyingi zinataka cheti Cha form 4 ,Je naipataje kazi YENYE Masharti nafuu.ahsante.pia Mimi Ni fundi umeme lkn Sina cheti.
Good idea
Sasaiv ndo kitu ninachofanya yaan kujifunza mwenyewe coz nna idea vile nilsoma media production for E-learning India bt sikua deep into practice bt recently nmeanza kukomaa kwa lengo hilo hilo la kujipatia kipato thru graphics works. Thanks kwa mawazo mazuri