SERIKALI KUPITIA WIZARA YA ELIMU TANZANIA IMETANGAZA UFADHILI WA MASOMO - SCHOLARSHIPS

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

👉 Scholarship za kusomea Masters

👉 Scholarship za kusomea Bachelor Degree

👉 Scholarship za kusomea Phd

Scholarship hii utapata ufadhili- chini ya serikali ya Romania

● Utalipiwa Ada ya masomo
● Utalipiwa gharama za kuishi na makazi
● Utapewa fedha ya kujikimu kila mwezi
● Utalipiwa gharama za bima ya afya
● Utalipiwa gharama za usafiri kipind cha masomo /Romania

Deadline: April 30,2021

Bonyeza link-Download Application Form & maelekezo
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/wizara-ya-elimu-scholarships-tenable-in-romania-for-the-academic-year-2021-2022/




▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

7 comments

CaTelz
Gabarini za sahiz. Polen na kazi. Waweza pata scholarship ya kuku fund karo tu kwa ngazi za diploma ya afya? Msaada wenu tafadhali.
Kiongoz nimefungua link nimeona zote hazifunguki mlizoeka
CaTelz
CaTelz
Dah wawez nitoa link au nmn ya kupapenya mkuu
Maan nko diplom mwak wa pili lkn karo imgoma dingi