OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
Kesho nitaeleza KIUNDANI KUHUSU BIASHARA HII...hatua kwa hatua...!
Nitaelezea Jinsi ya kuwekeza Million.1 Tuuh...katika biashara hii....na ukawa unatengeneza sio chini ya elfu.50 Tshs kwa siku
...!!!
11 comments
Show 1 more comment
Robby Irfan
Nov 12, 2019
Hapo naomba kueleweshw jinsi ya kumili you tube earning money account
abiola mwasa
Nov 12, 2019
Hata mm nimeelewa vizur japo unatumia sn kingereza kwa ambae hajasoma utamuacha mbali japo atakuwa na shauku ya kujua
abiola mwasa
Nov 12, 2019
au wazo langu kama kuna neno la kingeleza unaweka bas weka ufafanuzi kwa mbele
Jackson Phebe
Nov 12, 2019
Asante kwa Elimu mtoa Mada.
Nikuombe tu, uendelee kutoa na Elimu zingine kwaajili yetu vijana ili kupata fursa zaidi.
Asante
Unistoretz Support
Nov 12, 2019
abiola mwasa
au wazo langu kama kuna neno la kingeleza unaweka bas weka ufafanuzi kwa mbele
Sawa ndugu.nitajiribu kuweka kwa lugha rahisi ya kueleweka
Steven Deogratius
Nov 12, 2019
Good job, keep it up
abiola mwasa
Nov 12, 2019
Unistoretz Support
Sawa ndugu.nitajiribu kuweka kwa lugha rahisi ya kueleweka
asnt kwa kunielewa
Nyamka Adam
Nov 13, 2019
Pia tunaomba tusaidie sample ya business plan
Deux Bilal
Mar 10, 2020
abiola mwasa
au wazo langu kama kuna neno la kingeleza unaweka bas weka ufafanuzi kwa mbele
https://www.youtube.com/watch?v=sztxUN97Em0
Deux Bilal
Mar 10, 2020
Steven Deogratius
Good job, keep it up
https://www.youtube.com/watch?v=sztxUN97Em0
Nikuombe tu, uendelee kutoa na Elimu zingine kwaajili yetu vijana ili kupata fursa zaidi.
Asante