Rais William Samoei Ruto amekuja #TaitaTaveta akazindua Basi
🚌 ya Kombolio Secondary School, akatuombea na akatupa #AhadiHewa kama kawaida na akaenda!
Eti atarudi kuzindua sijui nini Septemba!
Na tumeamini kweli atakuja Septemba azindue hiyo sijui nini yake, wakati mbeleni aliahidi kurudi Taita Taveta kabla ya Desemba mwaka jana kuzindua #MzimaPhaseTwo na hakutimiza.
50/50 ya mgao wa mapato ya TSAVO hajatimiza. Na bado anatoa ahadi mpya.
Rais anatubebaje, si aache hizi #StoryZaJaba
🌿 akija kutembelea #MamaSita wake ! Tunajua wametoana mbali.
https://www.facebook.com/share/p/xMSvukuSdXH63p94/