Amesema nini eti kuhusu mradi wa #MzimaPhaseTwo?
Eti mradi umefika EVALUATION, Rais atakuja BREAKING na kutakuwa na vituo vitatu vya maji hayo hapa #TaitaTaveta?
🤷🏾♂️Nimemsikia vizuri ama nitakojolea kitanda?
😁Huyu ni Public Officer ama bado anajibeba kama mkereketwa wa chama cha United Democratic Alliance, UDA. ?
Amejifunza vocabulary za ZAKAYO karibu zote.
1. Tutafanya kikao
2. Tutaketi chini
3. Tutapanga
4. Wamama sijawaacha nyuma
5. Tukipiga simu ng'a
6. Etc etc etc ...
🥱Kwani Chama cha UDA kina shule ya kuwafunza hii #NgeliYaTuTa ...
🤷🏾♂️Kumbe kama si Omar Hassan Sarai hangepata hii kazi?
😬NB: Vijana kataeni kusikia Hekaya za Abunwasi na #AhadiHewa ...
😤Wakija #TaitaTaveta bila maji
💦 ya #MzimaPhaseTwo na ajira, msiwasikilize wala msipoteze nguvu zenu kuwapigia makofi ...
👏🏾Bila hivyo mtaemdelea kubebwa malenge
🎃 wakati wao wanakuza vitambi kwa kula hela ya uma ambayo ingetumiwa kuwapa maendeleo ya dhati.
#ZimaAhadiHewa ...
https://www.facebook.com/share/v/XE1PdPBpUbK2BoN9/