DSTV - yatangaza Fursa ya Udhamini kwa Vijana Tanzania
👉Kampuni ya DSTV MULTICHOICE GROUP yatangaza fursa kwa vijana wenye vipaji mbali mbali
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
📍 Vipaji vya Utangazaji 📍 Presenters 📍 Waandishi 📍 Watunzi wa Story 📍 Videographers 📍 Photographers 📍 Film Production 📍 Cinematography 📍 Film Editing 📍 Na vipaji vingine vinavyohusiana na Productions
🤜🏿Vijana 60 wanahitajika kupewa mafunzo kwa udhamini wa DSTV