MWANAFUNZI
VIDEO MPYA ZIMEONGEZWA

Taasisi ya Elimu Tanzania imeandaa utaratibu wa kutoa masomo kwa njia ya Televisheni na Redio, kuanzia tare he 21/4/2020 kwa ngazi ya Elimu ya Awali mpaka Kidato cha Sita, lengo kuu ni kuwawezesha wanafunzi kuendelea kujifunza na kujiandaa na mitihani kwa kipindi hiki ambacho wapo nyumbani katika kuwakinga na maambuklzi yaCOVID-19.


BOFYA HAPA KUANGALIA MASOMO BAADHI YALIANDALIWA TAYARI KWENYE LINK HII👇👇👇👇

New video aploaded

https://schoolpvh.blogspot.com/2020/04/soma-kupitia-video-sasa.html?m=1

Comments

Be the first to add a comment