Duuh jaman wafanya usafi nao mpaka wawebwamepitia chuo mmmmh
Paul Tadeo
Mambo mengi sana kwa sasa yanaeda kwa taaluma, hata yale tuliyoyazoea na juyaina ni ya kawaida na hs bado huko tuendako kila kitu kitahitaji cheti cha taaluma . Na hapa ndipo umuhimu wa shule unapokuja 😃😃