BENKI YA MAENDELEO-AFDB YATANGAZA SCHOLARSHIP KWA WATANZANIA🇹🇿
👉Scholarship hii , utalipiwa kila kitu kwenda kusoma Nchini JAPAN
Vigezo :
📍 Uwe Mtanzania 📍 Uwe na afya nzuri na vigezo vingine
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
● Utalipiwa Ada Kipindi chote cha masomo ● Utalipiwa gharama zote za Usafiri kwenda JAPAN ✈️ ● Utalipiwa gharama zote za Bima ya afya ● Utapewa sehemu ya kuishi ● Utapewa fedha ya kujikimu ya matumizi binafsi ya kila siku - Allowances 💰