Good News : Scholarship ya kusomea Abroad kwa yatima au watu waliopoteza mzazi mmoja👉 Utalipiwa kila kitu-FREE( FULLY FUNDED SCHOLARSHIP) , kwa ufadhili wa shirika la ASHINAGA AFRICA▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
Vigezo:
📍 Uwe yatima au uwe na mzazi mmoja📍 Uwe Mtanzania na vigezo vingine vilivyotajwa🆓 Utalipiwa Ada Kipindi chote cha masomo
🆓 Utalipiwa gharama zote za Usafiri kwenda Abroad( chuo husika)
✈️🆓 Utalipiwa gharama zote za Bima ya afya
🆓 Utapewa sehemu ya kuishi
🆓 Utapewa fedha ya kujikimu ya matumizi binafsi - Allowances kila mwezi
💰 Deadline: January 28,2022Bonyeza kufahamu maelekezo jinsi ya ku-Apply👇👇👇👇👇👇👇👇https://www.unistoretz.com/magazine/fully-funded-to-study-abroad-ashinaga-africa-initiative-leadership-program-2022/▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬