OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
NAFASI ZA KAZI UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA
● Ajira, Elimu kuanzia ya sekondari / Certificate
Mshahara: Zaidi ya Million.22 Tshs kwa mwaka
Deadline: November 30,2019
Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇
http://www.unistoretz.com/magazine/new-jobs-vacancies-at-u-s-embassy-dar-es-salaam/
6 comments
Abdul Karm
Nov 22, 2019
Nahitaji kazi
Unistoretz Support
Nov 22, 2019
Abdul Karm
Nahitaji kazi
Ndio hizo hapo
Abdul Karm
Nov 22, 2019
Mnapatkana x
SheNko Vic
Nov 22, 2019
Language : English level (IV) ni compulsory ama?
Unistoretz Support
Nov 22, 2019
SheNko Vic
Language : English level (IV) ni compulsory ama?
Sisi wenyewe hatufahamu kama ni Compulsory...ila VIGEZO Vilivyotajwa kwenye kila tangazo mara nyingi vinazingatiwa
Justin Robert
Nov 23, 2019
Kwa tulio kuwa tumefanya mara kwnza kutuma maombi kwny hii kazi tunarudia tna au ndo bas