BARABARA YA ILLASIT - ROMBO - TAVETA IMEENDA NA MAJI
Kuliponyesha kidogo barabara imezolewa yote. Abiria wamekwama hapa tangu usiku wa manane.
Juhudi za kujaribu kuwasaidia bado hazijafua dafu.
Wakaazi wanategea kwa hamu kuona Rais akitimiza ahadi yake ya kuikarabati barabara mhimu.
https://www.facebook.com/share/p/1EmjUYhYky/