Wameshindwa kutetea #MzimaPhaseTwo, 50/50 Share of TSAVO Revenues, Mto Mwagodi - Mbale - Werugha - Mghange - Bura Road, Electric Fence around TSAVO, Mining Royalties and etc etc ...
Sasa ndio wanajifanya ku quote constitution chapter bla bla bla, ili waonekane wanajua sheria, kwa mambo ambayo hayana umuhimu wowote kwa maisha ya wana #DaTu wa kawaida!
#WakiliBwireBureKabisa ...
https://www.facebook.com/share/v/CnhyyHEkLChnfXZm/