OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
Kampuni ya Star Media (T) Ltd inawatangazia nafasi ya kazi watu wenye vigezo na uwezo wa Kuchambua michezo (Mpira wa miguu)
Kazi.
1. Kuandaa script za michezo
2. Kufanya Voice Over
3. Uchambuzi wa Mpira
4. Kuhariri sauti
Vigezo.
1. Umri 18+
2. Uzoefu: Miaka 1 - 3
3. Elimu: Kuanzia Diploma.
Mwisho wa kutuma maombi: 27/08/2019
2 comments
Khaleeda Nuru
Aug 26, 2019
Sina uzoefu ila nina diploma ya sheria
Unistoretz Support
Aug 26, 2019
Khaleeda Nuru
Sina uzoefu ila nina diploma ya sheria
Fuata maelekezo Jinsi ya ku-Apply kwa kila tangazo la kazi husika