AJIRA TIPS ----->>
BAADHI YA MBINU ZITAKAZO KUSAIDIA KUPATA AJIRAKu-Apply Ajira nako kunahitaji SKILLS / UJUZI wake...!!✴️ Yawezekana una apply matangazo mengi ya kazi sana na una vigezo .....Na kwa bahati mbaya hujawahi kubahatika ata kuitwa kwenye interview...... !!
Yawezekana kukawa na sababu nyingi Personal / other reasons
Hapa ,tu angalie tatizo katika JINSI UNAVYO APPLY MATANGAZO YA KAZI / AJIRA.....NINI CHA KUFANYA???1⃣ Jaribu kushirikisha watu unaowafahamu waliofanikiwa kupata kazi , waweze kukusaidia katika kufanya Application ya ajira mbali mbali zinazotangazwa.
Watumie CV yako na Cover Letters wakusaidie kufanya review na kuweka sawa baadhi ya vitu.2⃣ Kama hauna watu unaowafahamu wenye uwezo uo,Jaribu kutumia makampuni yanayosaidia watu katika ku apply ajira . Kuandaa CV & Cover Letters na Application za ajira kwa Ujumla
..." Recruitment Agencies" kumbuka hapo ni lazima uwalipe, ndio watakusaidia katika kuandaa CV & Applications kwa ujumla.
3⃣ Usitishike na Tangazo la kazi, kuhusu Experience kubwa wanaohitaji. Wewe apply tuuh, ili mradi una hizo skills /knowledge wanayohitaji au unaona utafit kwenye iyo position
4⃣ Angalau kwa siku tuma maombi, kampuni sio chini ya tano kulingana na tangazo la kazi unalo ona lina vigezo vinayokuhusu .
Apply many job adverts as you can.
5⃣ Hakikisha una CV iliyoandaliwa vizuri, Tengeneza LinkedIn Profile nzuri ( very professional) na Cover Letters zako ziwe zenye ubora.
Ni muhimu kuwa na LinkedIn Account- Profile ambayo ni professional. Kazi nyingi za siku hizi wanakutaka u-apply kwa kutumia LinkedIn account.6⃣ Muombe Mungu na shirikisha watu ( especially walioajiriwa wakusaidie kwenye recommendations ya kampuni zao). Tafuta watu potential unaowafahamu .
Connections ni muhimu 7⃣ Sio lazima , usubiri kampuni itangaze Kazi. Submit CV yako mapema kwa HRs wa kampuni mbali mbali, Wakumbushe kupitia Emails zao au Contacts zao, kuwa ikitokea nafasi uwe included. Watumie CV yako na LinkedIn profile Link yako mara kwa mara.
8⃣ Njia nyingine ya kupata nafasi ya ajiri, ni kuanza
ku Volunteer katika kampuni husika unayo iwinda. Anza kujipendekeza kwanza9⃣ Usipende ku apply ajira kwa kutumia Simu. Tumia Kumpyuta ku-Apply ajira , especially ajira zinazohitaji ku apply Online.
1⃣0⃣ Endelea kufuatilia matangazo yetu ya ajira kila siku tunayotuma humu,
Fungua link kisha usome maelekezo ya tangazo husika kwa umakiniLink---->>>>https://www.unistoretz.com/magazine/Asante. Na karibu tuzidi kusaidiana😊Disclaimer: Makala hii ni mawazo ya mtu binafsi na sio kanuni za lazima.