🗣️🗣️ GOOD NEWS: SERIKALI YA MAURITIUS YATANGAZA UDHAMINI WA MASOMO KWA WATANZANIA

👉 Scholarship hii- Utalipiwa kila kitu (Fully Funded to Mauritius ✈️)
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

👉 Maombi ya Scholarship lazima yapitie Nominating Agency, Wizara ya Elimu Tanzania

📍 Scholarship za kusomea Diploma

📍Scholarship za Kusomea Undergraduate Degree

📍 Scholarship za Kusomea Masters

📍Scholarship za Kusomea Phd


🟢 Utalipiwa gharama zote za usafiri

🟢 Utalipiwa gharama zote za masomo-Fully Funded

🟢 Utalipiwa sehemu ya kuishi & allowances

🟢 Utalipiwa bima ya afya

🟢 Utapewa fedha ya kujikimu

Deadline: May 14 ,2021

Bonyeza Link- Kufahamu zaidi Maelekezo jinsi ya ku-Apply- Download Application forms
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/fully-funded-the-government-of-mauritius-africa-scholarships-scheme-2021-for-study-in-mauritius/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

🚫 WARNING: Hakuna malipo yoyote yanayohitajika katika ku-Apply Scholarship hii (except university application fee)

1 comment

Thenks🙏🙏