🗣️🗣️ GOOD NEWS: SERIKALI YA MAURITIUS YATANGAZA UDHAMINI WA MASOMO KWA WATANZANIA 👉 Scholarship hii- Utalipiwa kila kitu (Fully Funded to Mauritius ✈️)▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
👉 Maombi ya Scholarship lazima yapitie Nominating Agency, Wizara ya Elimu Tanzania📍 Scholarship za kusomea Diploma
📍Scholarship za Kusomea Undergraduate Degree
📍 Scholarship za Kusomea Masters
📍Scholarship za Kusomea Phd
🟢 Utalipiwa gharama zote za usafiri
🟢 Utalipiwa gharama zote za masomo-Fully Funded
🟢 Utalipiwa sehemu ya kuishi & allowances
🟢 Utalipiwa bima ya afya
🟢 Utapewa fedha ya kujikimu
Deadline: May 14 ,2021
Bonyeza Link- Kufahamu zaidi Maelekezo jinsi ya ku-Apply- Download Application forms👇👇👇👇👇👇👇👇https://www.unistoretz.com/magazine/fully-funded-the-government-of-mauritius-africa-scholarships-scheme-2021-for-study-in-mauritius/▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
🚫 WARNING: Hakuna malipo yoyote yanayohitajika katika ku-Apply Scholarship hii (except university application fee)