Kuna watu wana Comment bila ata ya kusoma MAELEKEZO YA TANGAZO HUSIKA KWA UMAKINI.....
Ushauri wetu; Tunapotuma Tangazo la kazi humu hakikisha UNAFUNGUA LINK na kusoma Tangazo la kazi husika kwa umakini
Kama mtu ameshindwa kusoma tuuh maelekezo madogo ya TANGAZO LA KAZI.....Hiyo kazi ndio atapata???.....itakuwa ngumu!!
Mfano mzuri ni hili tangazo la kazi....!! Mtu anasema hajaona sehemu ya ku apply au email..wakati maelekezo yako wazi kabisa...!! TANGAZO LINASEMA UTUME MAOMBI YAKO YA KAZI KWA NJIA YA BARUA KWA ANUANI ILIYOWEKWA au UNAWEZA PELEKA MAOMBI YA KAZI MOJA KWA MOJA KWENYE OFISI ZAO!!