Habari ...!!

Kuna watu wana Comment bila ata ya kusoma MAELEKEZO YA TANGAZO HUSIKA KWA UMAKINI.....


Ushauri wetu; Tunapotuma Tangazo la kazi humu hakikisha UNAFUNGUA LINK na kusoma Tangazo la kazi husika kwa umakini


Kama mtu ameshindwa kusoma tuuh maelekezo madogo ya TANGAZO LA KAZI.....Hiyo kazi ndio atapata???.....itakuwa ngumu!!


Mfano mzuri ni hili tangazo la kazi....!! Mtu anasema hajaona sehemu ya ku apply au email..wakati maelekezo yako wazi kabisa...!! TANGAZO LINASEMA UTUME MAOMBI YAKO YA KAZI KWA NJIA YA BARUA KWA ANUANI ILIYOWEKWA au UNAWEZA PELEKA MAOMBI YA KAZI MOJA KWA MOJA KWENYE OFISI ZAO!!

6 comments

Cantona120
Ni shidaa
Kazi nyingi ni miaka 40 na Kuendelea 😂inawezekana wazee awajaona vizuri but watufikirie na sisi wenye miaka ya ujana
Sawa na za media bhasi Boss tuwekeeni ila nikaushauri tuu inawezekana mimi nilichelewa kujiunga so zikanipita
Kebby Frankly
Naona tulioishia form four na six updates haziji kabsaa ni zawalio na ujuzi tu basi