Ninzuri Sana na nimependa kujiunga ila chet changu Cha form four kipo nchini Uganda Nina cheti Cha taaruma clearing and forward pamoja na cv hiyo Nina experience na Kaz Zaid ya mwaka mmoja na zaidi so naweza nika applay ama veep?
Alphayo
Wa Account hawatakiwi?
Fay
ADmin ushapataa ajira nini 😢.. umetuacha wenyew 😒 au unaumwa!?? ADmin where are you!!???