JKT - KWA MUJIBU WA SHERIA 2021

Majina yote ya waliochaguliwa kujiunga na JKT Form Six 2021-🇹🇿


🗣️ JESHI LA KUJENGA TAIFA -LIMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOMALIZA FORM SIX WATAKAOJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT 2021
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬


👉 Wanafunzi waliomaliza form 6 2021 wanatakiwa kuripoti kambi walizopangiwa

👉 Tarehe ya kuripoti kambi walizopangiwa ni June 01 hadi June 10,2021


👉 Majina yote tumekuwekewa na kambi zote walizopangiwa


👉 JKT wametoa Vifaa ambavyo wanafunzi wanatakiwa kuripoti navyo makambini na maelekezo

Bonyeza link hapa kuangalia Majina ya wanafunzi wote na kambi zote walizopangiwa na Maelekezo kutoka JKT
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/form-six-jkt-selection-2021-majina-ya-waliochaguliwa-kujiunga-jkt-kwa-mujibu-wa-sheria-2021/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

6 comments

Njake Ole Francis
Mbona mm nashindwa kuona majina
Njake Ole Francis
Ulionaje majina
Wedson Michael
Njake Ole Francis
Ulionaje majina
Tumia link, then search Nina lako, or jina LA shule kwa urahis zaid
Nenda makao makuu ya JKT, uombe then wao watakupangia kambi
Sam Tyga🐯
Nenda kweny kambi zao wakupe kamb ili wakakufaidi vizur😂