HIZI HAPA--VIDEOS AMBAZO ZINAELEZEA ...NI KAMA KOZI YA GRAPHICS DESIGNING...(JISNI YA KUTUMIA ADOBE,.....kutengeneza LOGO, kutengeneza Posters, Kutengeneza Business Cards, Ku edit picha, ku edit Videos..nk



KOZI NZIMA KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO


Unaweza Jifunza Kupitia videos hizi....kwa muda wako mwenyewe!!
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/playlist?list=PL9pkETrdJ0rZoid7XU1OmQ5zvPVQ0sRJl

16 comments

Hidmirosa
Kwann baadhi ya links tukitaka kuingia na kuapply for job zinagoma
Hidmirosa
Kwann baadhi ya links tukitaka kuingia na kuapply for job zinagoma
Hello...Link ya tangazo lipi.?? Itume hapa...Ili niweze kufahamu tatizo na kukuelekeza
Issah Anthony
Je kama bado ni mwanafunzi unaruhusiwa kuapply job???
Issah Anthony
Je kama bado ni mwanafunzi unaruhusiwa kuapply job???
Inategemea na Vigezo vya Tangazo la kazi....Kama wataandika kuhitaji wanafunzi..Utaweza ku-Apply pia
Issah Anthony
Oooohhh sawa nashukuru
Issah Anthony
Asante na je? Tanzania APA Kuna kampuni yoyote inayoruhusu mwanafunzi wa chuo kikuu kuvolunteer wakat bado anaendelea na masomo???
Now am gonna improve my skills. Interested with designing
Eagle Eye
Now am gonna improve my skills. Interested with designing
Safi sana.....Unawesa Kuwa na brand name yako as a company inayojihusisha na graphics designing....itaongeza uwaminifu na kufanya kazi na ata makampuni makubwa kwa ku-Partner nao...!! Kila sehemu wamahitaji watu kama wewe...Hadi makanisani, makampuni n.k
Proxima Centaury
Hallow....kuna baadhi ya matangazo ya kazi yanawekwa lakini hakuna option ya kuapply
Show next 5 comments