Utapewa zaidi ya Million.3 Tshs 🗒️✍️


🚨 MASHINDANO YA KUANDIKA ESSAY CHINI YA SHIRIKA LA MASWALA YA UHAMIAJI-MIXED MIGRATION CENTER(MMC)
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

👉 Kila mshindi atapewa zaidi ya Million.3 Tshs na faida nyingine nyingi✈️


📍 Andika Essay ya maneno 1500-2000 kuhusiana na mojawapo ya mada zifuatazo

● Siasa
● Maswala ya uhamiaji
● Human trafficking
● Maswala ya wakimbizi
● Ukandamizaji wa haki za binadamu
● Mabadiliko ya hali ya hewa
● Imani potofu kuhusu uhamiaji n.k

Vigezo :

● Uwe Mtanzania
● Essay iandikwe kwa lugha ya kingereza au french au spanish

Deadline: May 17,2021

Bonyeza Link-Kufahamu jinsi ya kutuma Essay yako Online
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/mixed-migration-centre-mmc-alternative-voices-short-essay-competition-2021-for-young-researchers-and-writers-usd-1500-prize/

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

5 comments

Ni kwa english ama kiswahili
Mkuu hii ukishaindika unatuma kwa email Ipi?
info@mixedmigration.org 👈email hii
Una type au handwriting