Kesho nitaeleza KIUNDANI KUHUSU BIASHARA HII...hatua kwa hatua...!


Nitaelezea Jinsi ya kuwekeza Million.1 Tuuh...katika biashara hii....na ukawa unatengeneza sio chini ya elfu.50 Tshs kwa siku...!!!

11 comments

Ahsante kwa somo
Tupo pamoja👍
Robby Irfan
Hapo naomba kueleweshw jinsi ya kumili you tube earning money account
abiola mwasa
Hata mm nimeelewa vizur japo unatumia sn kingereza kwa ambae hajasoma utamuacha mbali japo atakuwa na shauku ya kujua
abiola mwasa
au wazo langu kama kuna neno la kingeleza unaweka bas weka ufafanuzi kwa mbele
Jackson Phebe
Asante kwa Elimu mtoa Mada.
Nikuombe tu, uendelee kutoa na Elimu zingine kwaajili yetu vijana ili kupata fursa zaidi.
Asante
Good job, keep it up
Pia tunaomba tusaidie sample ya business plan