FURSA KWA WATU WENYE MAWAZO YA BIASHARA


📍 Wazo la biashara litakalosaidia kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii yako



👉 Tengeneza Team ya watu wa watano


👉 Chagueni Kiongozi wa Team


👉 Submit Video ya dakika moja inayoelezea wazo lenu la biashara


👉 Jaza Fomu Online




Bonyeza Link-zaidi na ku apply Online
👇👇👇👇👇👇👇

https://www.unistoretz.com/magazine/bechangemaker-africa-2021-social-entrepreneurship-acceleration-programme-for-young-africans/


....

2 comments

Joyce Mokiwa
Je mtu mmoja haiwezekani?
CHACHA MAHIRI
Inawezekana kabisa