OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
FURSA KWA WATU WENYE MAWAZO YA BIASHARA
📍
Wazo la biashara litakalosaidia kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii yako
👉
Tengeneza Team ya watu wa watano
👉
Chagueni Kiongozi wa Team
👉
Submit Video ya dakika moja inayoelezea wazo lenu la biashara
👉
Jaza Fomu Online
Bonyeza Link-zaidi na ku apply Online
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇
https://www.unistoretz.com/magazine/bechangemaker-africa-2021-social-entrepreneurship-acceleration-programme-for-young-africans/
....
2 comments
Joyce Mokiwa
May 17, 2021
Je mtu mmoja haiwezekani?
CHACHA MAHIRI
Jun 13, 2021
Inawezekana kabisa