GOOD NEWS KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA FORM SIX AU DIPLOMA

WIZARA YA ELIMU: YATANGAZA UDHAMINI WA MASOMO-SCHOLARSHIPS KWA WANAFUNZI WALIO FAULU FORM SIX AU DIPLOMA


📌 SCHOLARSHIPS KWA AJILI YA KUSOMEA UNDERGRADUATES DEGREE 2020 NCHINI KOREA

*Vigezo

》 •Uwe Mtanzania
》 •Uwe umemaliza Form Six au Diploma

UTALIPIWA KILA KITU KWENDA KUSOMA NCHINI KOREA✈️

✔️ Utalipiwa gharama za Usafiri

✔️ Utalipiwa Ada zote Kipindi cha masomo

✔️ Utalipwa makazi ya kuishi kipind cha masomo

✔️ Utalipwa kila mwezi Fedha ya matumizi binafsi ( Million.1.7 Tshs)

✔️ Utalipiwa Maswala ya bima ya afya

✔️ Utapewa Allowances kila mwezi💰

Deadline: October ,3 2019


Bonyeza Link -kufahamu jinsi ya Ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/wizara-ya-elimu-scholarship-for-2020-global-korea-scholarship-gks-for-undergraduate-degreefully-funded/

4 comments

Na tunapataje hizo forms ambazo tunaambatanisha na Application ....!?
Simon Eliakim
Na tunapataje hizo forms ambazo tunaambatanisha na Application ....!?
Download Online kupitia Link iliyowekwa..Soma maelekezo vizur utaona link ya applocation Forms ..Kwa maelezo zaidi uanweza fika ubalozi wa korea
Iren Spember
Habari
Mbona deadline iko mapema Ivo siku mbili zijazo .. Sasa ukamilishaji wa documents zote unaezeka kwa siku hizi mbili???
msaada wa link aisee