🚨 BREAKING: SERIKALI YATANGAZA UFADHILI WA MAFUNZO KWA WATANZANIA 12,625- KWENYE VYUO 68

👉 Utalipiwa ada kwa ufadhili wa serikali asilimia mia 100% kipindi chote cha Mafunzo
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

📍 Vigezo : Uwe umemaliza Elimu ya darasa la saba au zaidi
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

Wanahitajika Vijana 12,625 kusomea mafunzo kwenye vyuo 68 Tanzania

● Kusomea fani za Ufundi

● Kusomea fani za Kilimo /Agriculture

● Mafunzo ya Kompyuta / IT

● Mafunzo ya Hoteli na Utalii

● Mafunzo ya Kushona

● Mafunzo ya Useremala

● Mafunzo ya Ufundi umeme

● Mafunzo ya Madini

● Mafunzo ya Ufundi Magari

● Mafunzo ya Ufundi Vyuma

● Mafunzo ya ufundi mabomba

● Mafunzo ya Upakaji Rangi na alama

● Ubunifu wa mitindo ya nguo

Deadline: April 30,2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya kutuma maombi
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/12625-fully-funded-training-opportunities-at-the-ministry-of-labour-and-employment-2021/
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

4 comments

Ney Johnpaul
Napend lakin kwenye link nimekosa sehem ya kujaza form
erique mohamed
mbona pakujazia fomu hapaonekani?
Herson Manangi
Mbona sehemu ya kujazia fomu sioni jaman naipenda kwa kwel embu nipeni maelekezo zaidi
ynes mussa
jmn tunaapply vp mbn mi cion nshataft mno mtuelekeze