GOOD NEWS KWA WAHITIMU- WANAOTAFUTA KAZI NA HAWANA EXPERIENCE KAMPUNI YA SAP - YATANGAZA FURSA KWA WATANZANIA - GRADUATES▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
👉 Utapewa Mafunzo na utapata kipaumbele kwenye kupata Ajira - Nchi yoyote Duniani chini ya kampuni ya SAP👉 Baada ya mafunzo, utapewa Certification & Priority kwenye Ajira na fursa nyingi zitakazojitokeza kwenye Kampuni ya SAP👉 Utaweza kutambulika Nchi yoyote Duniani - chini ya kampuni ya SAP Vigezo :
📍Uwe Mtanzania
📍Uwe unajua kuongea lugha ya kingereza
📍Na Vigezo vingine-fungua link
Deadline: March 2021
Bonyeza Link Kufahamu zaidi -Apply Online👇👇👇👇👇👇👇👇👇https://www.unistoretz.com/magazine/sap-africa-young-professional-program-2021-for-young-graduates-across-africa/▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬