AJIRA ZA UWALIMU

WALIMU WANAHITAJIKA SHULE YA MOROGORO INTERNATIONAL

● Walimu wa kufundisha masomo ya Arts

● Walimu wa kufundisha masomo ya sayansi


● Walimu wa Kufundisha Primary


Deadline: May 15,2021

Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya ku-Apply
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.unistoretz.com/magazine/6-job-opportunities-at-morogoro-international-school/


📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌

3 comments

Herson Manangi
Nipo kwa kwel me ndo nimemaliza chuo cha ualimu mwaka juzi nimebobea masomo ya kiswahili,history ,na geography niambieni jinsi ya kuaply chuo chenu Nina ujuzi wa kutosha kubusiana na hayo masomo yangu niliyoyasema
Herson Manangi
Ntafurahi endapo mtanipa angalau ata namba zenu tuwasilianee
Herson Manangi
Ntafurahi endapo mtanipa angalau ata namba zenu tuwasilianee
Hello, Fungua Link usome maelekezo jinsi ya ku-Apply /kutuma maombi yako ya kazi kama ilivyoelekezwa. Asante