Nipo kwa kwel me ndo nimemaliza chuo cha ualimu mwaka juzi nimebobea masomo ya kiswahili,history ,na geography niambieni jinsi ya kuaply chuo chenu Nina ujuzi wa kutosha kubusiana na hayo masomo yangu niliyoyasema
Herson Manangi
Ntafurahi endapo mtanipa angalau ata namba zenu tuwasilianee