Kama unatumia mtandao wa Vodacom na unashindwa kufungua links zetu, Jaribu kutumia VPN au Internet ya Mtandao mwingine tofauti na Vodacom.

Tatizo hili lipo Kwa watumiaji wa Vodacom kuna muda wanashindwa kufungua Links za website yetu.

3 comments

Hamy Hans
Hazfunguki kabisa
Hamy Hans
Hazfunguki kabisa
Ndio tumeandika maelekezo hapo, kwa watumiaji wa Mtandao Wa Vodacom ndio wanapata tatizo hilo mara kwa mara
Mkali Vicent
Kwa hiyo tubadilishe mtandao