TAMISEMI: AJIRA MPYA ZA UWALIMU NA KADA YA AFYA📍 Ajira zaidi ya 9,000 ++ kutoka Serikalini🗣️🗣️ SERIKALI YAMWAGA AJIRA MPYA KWA WALIMU NA SEKTA YA AFYA MWAKA 2021▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
👉 Wanahitajika walimu 6949 kwa ajili ya kufundisha masomo mbali mbali
● Kufundisha shule za msingi
● Kufundisha shule za Sekondari
👉 Wanahitajika Wafanyakazi 2726 sekta ya afya Hospitali za halmashauri, Vituo vya afya na zahanati
● Madaktari Wanahitajika
● Manesi Wanahitajika
● Laboratory Technicians
● Radiologists
● Pharmacists
● Maafisa Mazingira
● Maafisa Ustawi wa jamii
● Wasaidizi wa afya
● Madaktari wa meno
● Wauguzi Daraja la pili
Deadline: May 23,2021
Bonyeza Link-Kufahamu Jinsi ya kutuma maombi ya kazi TAMISEMI👇👇👇👇👇👇👇👇 https://www.unistoretz.com/magazine/tamisemi-government-job-vacancies-for-teachers-healthcare-providers/▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬